Skip to main content

Posts

Featured

Ofisi za Chadema zachomwa moto, polisi waanza uchunguzi

Lindi. Polisi mkoani Lindi imesema imeanza uchunguzi wa kubaini chanzo cha ofisi za Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema) mkoani Lindi kuchomwa moto. Ofisi hizo zimeungua moto usiku wa kuamkia leo Ijumaa Juni 14, 2019 na kusababisha vitu vilivyokuwamo ndani kuungua moto. Akizungumzia tukio hilo, kamanda wa polisi mkoa wa Lindi, Proudencia Protus amethibitisha kutokea kwa tukio hilo na amesema uchunguzi unafanywa ili kubaini chanzo chake. Naye Mwenyekiti wa Chadema Kanda ya Kusini, Cecil Mwambe amesema mali zilizochomwa ni pamoja na pikipiki mpya iliyokuwa ipelekwe wilayani Liwale kwa ajili ya shughuli za chama, kompyuta na nyaraka mbalimbali na kwamba taarifa zimeshatolewa polisi. “Ni taarifa za kweli ofisi iliyopo Lindi mjini imechomwa moto usiku wa kuamkia leo muda wa saa nane usiku, ndani kulikuwa na pikipiki mpya ambayo ilikuwa ipelekwe Liwale kwa ajili ya zoezi la Chadema ni msingi, kompyuta ya chama na nyaraka mbalimbali. Taarifa imeshafikishwa poli...

Latest Posts

Waziri Makamba afafanua kuhusu mkanganyiko matumizi mifuko ya plastiki

RAIS WA KONGO (DRC) MHE. FELIX TSHISEKEDI AWASILI NCHINI,APOKELEWA NA MWENYEJI WAKE DKT. MAGUFULI

WASTAAFU 10,000 WA PSSSF WALIOKUWA WANADAI WALIPWA BILIONI 880

Soma hotuba ya Waziri wa Fedha na Mipango, Dk Philip Mpango akiwasilisha bungeni mapendekezo ya Serikali kuhusu makadirio ya mapato na matumizi kwa mwaka 2019/20