Vanessa Mdee athibitisha ujio wa ngoma yake na Fally Ipupa

Image result for picha za vanesa akiwa na fally ipupa

Leo April 30,2019 Staa wa Bongofleva Vanessa Mdee amethibitisha ujio wa kolabo yake na mkali wa muziki wa dansi kutokea Congo Fally Ipupa kupitia  ukurasa wake wa instagram ikiwa baao yupo nchini Congo kwa ajili ya kazi zake za muziki.

Kupitia ukurasa wa instagram wa Vanessa Mdee ameandika “When you make a SMASH HIT, shake on it 🤝 TOKOOOS @fallyipupa01 🚀 🇹🇿 x 🇨🇩”, hii itakuwa ni track ya kwanza kwa Vanessa Mdee kuwahi kufanya na mkali huyo wa Congo Fally Ipupa.

Comments

Popular Posts