Mtanzania mwenye taaluma ya Maendeleo ya Jamii atengeneza ndege isiyo na rubani, akosa kibali cha kurusha (Video)

Kijana wa Kitanzania aitwaye, BoneLove ambaye ana taaluma ya Maendeleo ya Jamii, jana katika maonyesho ya Innovation Week aliushangaza umati watu baada ya kuonyesha ndege isiyo na rubani ambayo amaeiunda mwenyewe huku akidai kukosa vibali kwaajili ya kurusha kwaajili ya majaribio.


Comments

Popular Posts