Mkazi wa Vingunguti Jijini Dar Auawa na Kuporwa Bajaji


Kwa mujibu wa taarifa iliyoletwa na mdau wa JamiiForums inaeleza kuwa aliyeuawa ni bwana Rajab Kilavula mkazi wa Vingunguti Mchongomani

Maiti yake imekutwa maeneo ya karibu na Super Doll barabara ya Nyerere huku akionekana kuuawa kwa kunyongwa

Mwili wa marehemu umehifadhiwa katika Hospitali ya Taifa, Muhimbili

Comments

Popular Posts