Waziri Lugola Amtaka Zitto Kujisalimisha Polisi

Waziri Lugola Amtaka Zitto Kujisalimisha Polisi

Leo Julai 31 Waziri wa Mambo ya ndani ya Nchi Kangi Lugola amemtaka Mbunge wa Kigoma mjini Zitto Kabwe kujisalimisha kituo kikuu cha polisi Lindi kutokana na kitendo cha kukaidi agizo la Rais Magufuli kwa mbunge yeyote kutofanya shughuli za mkutano tofauti na jimbo lake.

Hatua hiyo imekuja baada ya Zitto Kabwe kuhutubia na kutoa kauli za uchochezi kwenye mkutano ulioandaliwa na Mbunge wa Kilwa Kusini Selemani Bungala maarufu Bwege uliofanyika Julai 29 mwaka huu 

Comments

Popular Posts