» » DK. BASHIRU ALI KATIBU MKUU MPYA WA CCM, NEC YAPITISHA JINA LAKE KWA KISHINDO, LEO

Katibu Mkuu mpya wa CCM Dk. Bashiru Ali akipongezwa na Makamu Mwenyekiti wa CCM Rais wa Zanzibar Dk. Ali Mohamedi baada ya jina lake kupendekezwa na kisha Wajumbe wa Halmashauri Kuu ya Taifa (NEC) CCM kulipitisha kwa kauli moja, katika kikao cha NEC kwenye ukumbi wa Kikwete, leo. Katikati ni Mwenyekiti wa CCM Rais Dk. John Magufuli
 Dk. Bashiru akiwa amekiti meza kuu baada ya utegguzi.
 Dk. Bashiru akizubgumza baada ya kuteuliuwa kuwa Katibu Mkuu wa CCM kwenye kikao cha NEC, leo.
 Dk. Magufuli akishauriana jambo na Dk. Shein wakati wa kikao hicho
Wajumbe wakishangilia baada ya kumpitisha rasmi Dk. Bashiru kuwa Katibu Mkuu wa CCM

Comments

Popular Posts