Mwanaharakati kutoka Afrika Kusini ambaye pia ni mwandishi wa Jarida la Forbes Africa na UN Ambassador, amsifia DC Jokate kwa utendaji wake wa kazi (+ Video)
Mwanaharakati kutoka nchini Afrika Kusini ambaye anafanya kazi katika jarida la Forbes Africa na pia akiwa kama UN Refugees Ambassodar Agency, Ancillar Mangena amefunguka mengi sana akimsifia DC wa Kisarawe Mh. Jokate Mwengelo.
Kupitia mahojiano aliyofanya na Bongo 5 mwanadada huyo amemsifia Jokate kwa kuitangaza wilaya ya Kisarawe lakini pia akiitangaza Tanzania kwa ujumla na jinsi ya ufanyaji wake wa kazi.
Comments
Post a Comment