Sehemu ya kiwanda cha viatu cha Bora kinawaka moto katika eneo la Tazara jijini Dar es Salaam.
Chanzo bado hakijajulikana, lakini Kikosi cha zimamoto tayari kiko eneo la tukio na juhudi za kudhibiti moto huo zinaendelea
KWA HABARI ZA MICHEZO PAKUA APP YETU YA MICHEZO SASA
Comments
Post a Comment