Kimenuka..Polisi Kinondoni Inawashikilia Mgambo Watatu kwa Kumshambulia na Kumjeruhi Mwananchi


Polisi Kinondoni inawashikilia mgambo watatu, kwa kumshambulia na kumjeruhi Robson Orotho, mkazi wa Bunju Dar kwa kutolipa faini ya usafi Sh50, 000.

Comments

  1. Timamu Kamanda Mulilo, kwa kufanya hivyo no kuzuia Matumizi ya Nguvu nyingi, kwa masuala madogo, yanayofanywa na baadhi ya Askari wa Majeshi yetu. Sheria ni MSUMENO, ngoja ichukue Mkondo wake

    ReplyDelete

Post a Comment

Popular Posts